G8

Kundi la G8 lilikuwa likikusanya viongozi wa nchi 8 zilizoendelea sana kabla ya Russia kusimamishwa mwaka 2014 kwa sababu ya kuteka Krimea.[1][2][3] Tangu hapo, kundi limebaki na nchi za G7 pamoja na Umoja wa Ulaya.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: