Randa

Randa
Matumizi ya randa

Randa ni kifaa cha seremala kilicho na kisu kinachotumika kusawazisha mbao.