Trelleborg

Boma la Waviking

Trelleborg ni mji na manispaa nchini Uswidi, ambao ndio wengi kusini. Kuna wakazi 25,643 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1257 .

Jiografia

Eneo lake ni 11.22 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trelleborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.