Uvira

Muonekano wa mji wa Uvira


Uvira ni mji wa mkoa wa Kivu Kusini, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 378,736 (2012).

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

3°24′S 29°09′E / 3.400°S 29.150°E / -3.400; 29.150

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uvira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.