Walabi
Walabi
Walabi mwepesi (Macropus agilis )
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Ngeli ya chini:
Marsupialia (Wanyama wanaobeba watoto wao ndani ya pochi ya ngozi))
Oda:
Diprotodontia (Wanyama wenye meno makubwa mawili mbele kwa mdomo)
Nusuoda:
Macropodiformes (Wanyama kama kangaruu )
Familia:
Macropodidae (Wanyama walio na mnasaba na kangaruu) Gray , 1821
Ngazi za chini
Jenasi 10:
Dorcopsis Schlegel & Müller, 1845
Dorcopsulus Matschie, 1916
Lagorchestes Gould, 1841
Lagostrophus Thomas, 1897
Macropus Shaw, 1790
Onychogalea Gray, 1841
Petrogale Gray, 1837
Setonix Lesson, 1842
Thylogale Gray, 1837
Wallabia Trouessart, 1905
Walabi ni marsupialia wa familia Macropodidae ambao wanapatikana maeneo ya Australia na Nyugini . Wanyama hao wanafanana na kangaruu lakini ni wadogo zaidi.
Katika uainishaji wa kisayansi walabi wapo katika familia moja pamoja na kangaruu. Huainisha katika spishi 48 na jenasi kumi , lakini kangaruu wamegawanyika katika spishi sita za jenasi mbili : Macropus na Osphranter .
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Walabi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd