M. piacentinii [[R.E. Drake-Brockman}Drake-Brockman]], 1911
M. saltiana Desmarest, 1816
M. s. hararensis Neumann, 1905
M. s. lawrencei Drake-Brockman, 1926
M. s. phillipsi Thomas, 1894
M. s. saltiana Desmarest, 1816
M. s. swaynei (Thomas, 1894)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Digidigi ni wanyamapori wadogo wa jenasiMadoqua katika familia Bovidae. Wanyama hawa ni miongoni mwa wanyama wadogo kabisa wa Bovidae (kimo sm 30–40 begani, urefu sm 50–70 na uzito kg 3–6). Wanatokea savana kavu za Afrikakusini kwa Sahara. Jike ni mkubwa kidogo kuliko dume lakini dume ana pembe fupi na nyembamba. Wana ushungi kwa utosi unaoficha pengine pembe za dume. Rangi yao ni ya mchanga lakini mgongo una rangi ya majivu. Digidigi hula majani, matunda na beri. Wanapata maji ya kutosha kutoka chakula chao, kwa hivyo hawana haja ya kunywa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Digidigi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna)
Tragulus
Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni)
Kuro (K. ellipsiprymnus) ·Mraye (K. kob) · Lechwe kusi (K. leche) · Lechwe wa Nili (K. megaceros) · Lechwe wa Upemba (K. anselli) ·Sheshe (K. vardonii)
Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei)
Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus)