Komba
Komba
Komba magharibi (Galago senegalensis )
Uainishaji wa kisayansi
Domeni:
Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu )
Nusuoda:
Strepsirrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na lemuri )
Oda ya chini:
Lorisiformes (Wanyama kama poto )
Familia:
Galagidae (Wanyama walio na mnasaba na komba ) Gray , 1825
Ngazi za chini
Jenasi 5:
Komba ni wanyama wadogo wa familia Galagidae . Wamo miongoni mwa wanyama wa asili wa jamaa ya binadamu . Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara .
Hukiakia usiku na hulala mchana katika matundu ya miti . Kwa ajili hiyo wana macho makubwa ili kuona vizuri kwenye giza . Hata masikio yao ni makubwa ili kusikia mawindo yao na hata maadui wao. Mkia mrefu wao huzuia wasiyumbe wakitembea juu ya matawi . Wanaweza kuruka sana, hadi mita 2 kwa wima. Wana makucha kama yale ya watu, isipokuwa lile la kidole cha pili cha miguu ambao ni mrefu wenye ncha kali na hutumika kwa kusafisha manyoya . Hula wadudu , wanyama wadogo, matunda na sandarusi.
Spishi
Euoticus elegantulus , Komba Kucha-sindano Kusi (Southern needle-clawed bushbaby )
Euoticus pallidus , Komba Kucha-sindano Kaskazi (Northern needle-clawed bushbaby )
Galago gallarum , Komba Somali (Somali lesser galago )
Galago matschiei , Komba Miwani (Spectacled lesser galago )
Galago moholi , Komba Kusi (Southern lesser galago )
Galago senegalensis , Komba Magharibi (Northern lesser galago )
Galagoides cocos , Komba Mdogo wa Kenya (Kenya coast galago )
Galagoides demidovii , Komba Mdogo wa Demidoff (Demidoff's dwarf galago )
Galagoides granti , Komba Mdogo wa Grant (Grant's lesser galago )
Galagoides kumbirensis , Komba Mdogo wa Angola (Angolan dwarf galago )
Galagoides nyasae , Komba Mdogo wa Malawi (Malawi galago )
Galagoides orinus , Komba Mdogo wa Uluguru (Mountain dwarf galago )
Galagoides rondoensis , Komba Mdogo wa Rondo (Rondo dwarf galago )
Galagoides thomasi , Komba Mdogo wa Thomas (Thomas's dwarf galago )
Galagoides zanzibaricus , Komba Mdogo wa Pwani (Coast galago )
Otolemur crassicaudatus , Komba-miyombo (Brown greater galago )
Otolemur garnettii , Komba Mkubwa Kaskazi (Northern greater galago )
Otolemur monteiri , Komba Mkubwa wa Kavirondo (Silvery greater galago )
Sciurocheirus alleni , Komba-kindi wa Allen (Allen's squirrel galago )
Sciurocheirus gabonensis , Komba-kindi wa Gaboni (Gabon squirrel galago )
Sciurocheirus makandensis , Komba-kindi wa Makande (Makandé squirrel galago )
Picha
Komba kusi
Komba mdogo wa Grant
Komba-miyombo
Komba mkubwa kaskazi
Cheirogaleidae Allocebus Lemuri kibete masikio-singa (A. trichotis)
Cheirogaleus Lemuri kibete masikio-manyoya (C. crossleyi) · Lemuri kibete mkubwa (C. major) · Lemuri kibete mkia-mnono (C. medius) · Lemuri kibete kijivu (C. minusculus) · Lemuri kibete wa Sibree (C. sibreei)
Microcebus Lemuri-panya wa Arnhold (M. arnholdi) · Lemuri-panya wa Bibi Berthe (M. berthae) · Lemuri-panya wa Bongolava (M. bongolavensis) · Lemuri-panya wa Danfoss (M. danfossi) · Lemuri-panya wa Gerp (M. gerpi) · Lemuri-panya mwekundu (M. griseorufus) · Lemuri-panya wa Jolly (M. jollyae) · Lemuri-panya wa Goodman (M. lehilahytsara) · Lemuri-panya wa MacArthur (M. macarthurii) · Lemuri-panya wa Claire (M. mamiratra) · Lemuri-panya wa Margot Marsh (M. margotmarshae) · Lemuri-panya wa Marohita (M. harohita) · Lemuri-panya wa Mittermeier (M. mittermeieri) · Lemuri-panya kijivu (M. murinus) · Lemuri-panya mdogo (M. myoxinus) · Lemuri-panya hudhurungi (M. ravelobensis) · Lemuri-panya kahawia (M. rufus) · Lemuri-panya wa Sambirano (M. sambiranensis) · Lemuri-panya wa Simmons (M. simmonsi) · Lemuri-panya wa Anosy (M. tanosi) · Lemuri-panya mwekundu kaskazi (M. tavaratra)
Mirza Lemuri-panya mkubwa kusi (M. coquereli) · Lemuri-panya mkubwa kaskazi (M. zaza)
Phaner Lemuri baka-taga wa Mlima Kaharabu (P. electromontis) · Lemuri baka-taga wa Masoala (P. furcifer) · Lemuri baka-taga hudhurungi (P. pallescens) · Lemuri baka-taga wa Pariente (P. parienti)
Daubentoniidae Daubentonia Ai-ai (D. madagascariensis)
Indriidae Avahi Lemuri-sufu wa Betsileo (A. betsileo) · Lemuri-sufu wa Bemaraha (A. cleesei) · Lemuri-sufu mashariki (A. laniger) · Lemuri-sufu kusi (A. meridionalis) · Lemuri-sufu wa Moore (A. mooreorum) · Lemuri-sufu magharibi (A. occidentalis) · Lemuri-sufu wa Peyrieras (A. peyrierasi) · Lemuri-sufu wa Ramanantsoavana (A. ramanantsoavana) · Lemuri-sufu wa Sambirano (A. unicolor)
Indri Indri (I. indri)
Propithecus Sifaka mweupe (P. candidus) · Sifaka wa Coquerel (P. coquereli) · Sifaka kichwa-cheusi (P. coronatus) · Sifaka wa Decken (P. deckenii) · Sifaka taji (P. diadema) · Sifaka wa Milne-Edwards (P. edwardsi) · Sifaka mweusi (P. perrieri) · Sifaka utosi-dhahabu (P. tattersalli) · Sifaka wa Verreaux (P. verreauxi)
Lemuridae Eulemur Lemuri kichwa-cheupe (E. albifrons) · Lemuri ??? (E. collaris) · Lemuri kichwa-kijivu (E. cinereiceps) · Lemuri taji (E. coronatus) · Lemuri paji-njano (E. flavifrons) · Lemuri kahawia (E. fulvus) · Lemuri mweusi (E. macaco) · Lemuri-nguchiro (E. mongoz) · Lemuri tumbo-jekundu (E. rubriventer) · Lemuri paji-jekundu (E. rufifrons) · Lemuri mwekundu (E. rufus) · Lemuri wa Sanford (E. sanfordi)
Hapalemur Lemuri-mwanzi wa Alaotra (E. alaotrensis) · Lemuri-mwanzi dhahabu (E. aureus) · Lemuri-mwanzi wa Gilbert (E. gilberti) · Lemuri-mwanzi mdogo mashariki (E. griseus) · Lemuri-mwanzi mdogo kusi (E. meridionalis) · Lemuri-mwanzi mdogo magharibi (E. occidentalis)
Lemur Lemuri mkia-miviringo (L. catta)
Prolemur Lemuri-mwanzi mkubwa (P. simus)
Varecia Lemuriukosi mwekundu (V. rubra) · Lemuriukosi mweupe-na-mweusi (V. variegata)
Lepilemuridae Lepilemur Lemuri-spoti wa AEECL (L. aeeclis) · Lemuri-spoti wa Ahmanson (L. ahmansoni) · Lemuri-spoti wa Ankarana (L. ankaranensis) · Lemuri-spoti wa Betsileo (L. betsileo) · Lemuri-spoti mgongo-kijivu (L. dorsalis) · Lemuri-spoti wa Milne-Edwards (L. edwardsi) · Lemuri-spoti wa Fleurete (L. fleuretae) · Lemuri-spoti wa Grewcock (L. grewcockorum) · Lemuri-spoti wa Holland (L. hollandorum) · Lemuri-spoti wa Hubbard (L. hubbardorum) · Lemuri-spoti wa James (L. jamesorum) · Lemuri-spoti miguu-myeupe (L. leucopus) · Lemuri-spoti meno-madogo (L. microdon) · Lemuri-spoti wa Daraina (L. milanoii) · Lemuri-spoti wa Mittermeier (L. mittermeieri) · Lemuri-spoti chororo (L. mustelinus) · Lemuri-spoti wa Otto (L. otto) · Lemuri-spoti wa Petter (L. petteri) · Lemuri-spoti wa Randrianasolo (L. randrianasoloi) · Lemuri-spoti mkia-mwekundu (L. ruficaudatus) · Lemuri-spoti wa Sahamalaza (L. sahamalazensis) · Lemuri-spoti wa Scott (L. scottorum) · Lemuri-spoti wa Seal (L. seali) · Lemuri-spoti kaskazi (L. septentrionalis) · Lemuri-spoti wa Hawk (L. tymerlachsonorum) · Lemuri-spoti wa Wright (L. wrightae)
Familia ya juu Lorisoidea
Lorisidae Galagidae Euoticus Komba kucha-sindano kusi (E. elegantulus) · Komba kucha-sindano kaskazi (E. pallidus)
Galago Komba Somali (G. gallarum) · Komba miwani (G. matschiei) · Komba kusi (G. moholi) · Komba magharibi (G. senegalensis) · Komba miwani (G. matschiei)
Galagoides Komba mdogo wa Kenya (G. cocos) · Komba mdogo wa Demidoff (G. demidovii) · Komba mdogo wa Grant (G. granti) · Komba mdogo wa Malawi (G. nyasae) · Komba mdogo wa Uluguru (G. orinus) · Komba mdogo wa Rondo (G. rondoensis) · Komba mdogo wa Thomas (G. thomasi) · Komba mdogo wa pwani (G. zanzibaricus)
Otolemur Komba-miyombo (O. crassicaudatus) · Komba mkubwa kaskazi (O. garnettii) · Komba mkubwa wa Kavirondo (O. monteiri)
Sciurocheirus Komba-kindi wa Allen (S. alleni) · Komba-kindi wa Gaboni (S. gabonensis) · Komba-kindi wa Makande (S. makandensis)
Oda ndogo Platyrrhini
Atelidae Alouatta Ursine howler (A. arctoidea) · Red-handed howler (A. belzebul) · Black howler (A. caraya) · Coiba Island howler (A. coibensis) · Spix's red-handed howler (A. discolor) · Brown howler (A. guariba) · Juruá howler (A. juara) · Guyanan red howler (A. macconnelli) · Amazon black howler (A. nigerrima) · Mantled howler (A. palliata) · Guatemalan black howler (A. pigra) · Purus red howler (A. puruensis) · Bolivian red howler (A. sara) · Venezuelan red howler (A. seniculus) · Maranhão red howler (A. ululata)
Ateles White-fronted spider monkey (A. belzebuth) · Peruvian spider monkey (A. chamek) · Black-headed spider monkey (A. fusciceps) · Geoffroy's spider monkey (A. geoffroyi) · Brown spider monkey (A. hybridus) · White-cheeked spider monkey (A. marginatus) · Red-faced spider monkey (A. paniscus)
Brachyteles Southern muriqui (B. arachnoides) · Northern muriqui (B. hypoxanthus)
Lagothrix Grey woolly monkey (L. cana) · Brown woolly monkey (L. lagotricha) · Colombian woolly monkey (L. lugens) · Silvery woolly monkey (L. poeppigii)
Oreonax Yellow-tailed woolly monkey (O. flavicauda)
Cebidae Pitheciidae
Oda ndogo Catarrhini
Cercopithecidae Allenopithecus Kima wa Allen (A. nigroviridis)
Cercocebus Kaku kijivu (C. agilis) · Kaku mweusi (C. atys) · Kaku tumbo-dhahabu (C. chrysogaster) · Kaku wa Tana (C. galeritus) · Kaku wa Sanje (C. sanjei) · Kaku utosi-mwekundu (C. torquatus)
Cercopithecus Kima koo-jeupe (C. albogularis) · Kima mkia-mwekundu (C. ascanius) · Kima wa Campbell (C. campbelli) · Kima masharubu (C. cephus) · Kima wa Dent (C. denti) · Kima wa Diana (C. diana) · Kima fedha (C. doggetti) · Kima wa Kongo (C. dryas) · Kima tumbo-jekundu (C. erythrogaster) · Kima masikio-mekundu (C. erythrotis) · Kima uso-bundi (C. hamlyni) · Kima mgongo-dhahabu (C. kandti) · Kima wa L'Hoest (C. lhoesti) · Kima lesula (C. lomamiensis) · Kima wa Lowe (C. lowei) · Kima buluu (C. mitis) · Kima wa Mona (C. mona) · Karasinga (C. neglectus) · Kima pua-nyeupe (C. nictitans) · Kima pua-doa (C. petaurista) · Kima ushungi (C. pogonias) · Kima wa Preuss (C. preussi) · Kima wa Roloway (C. roloway) · Kima wa Sclater (C. sclateri) · Kima matako-madoa (C. solatus) · Kima wa Wolf (C. wolfi)
Chlorocebus Ngedere Habeshi (C. aethiops)
· Ngedere wa Kongo (C. cynosuros)
· Ngedere wa Bale (C. djamdjamensis ) · Ngedere mashariki (C. pygerythrus)
· Ngedere magharibi (C. sabaeus)
· Ngedere wa Afrika wa Kati (C. tantalus)
Colobus Mbega mweupe kusi (C. angolensis) · Mbega mweupe mashariki (C. guereza) · Mbega mfalme (C. polykomos) · Mbega mweusi (C. satanas) · Mbega mapaja-meupe (C. vellerosus)
Erythrocebus Kima mwekundu (E. patas)
Lophocebus Kaku mashavu-kijivu (L. albigena) · Babakoto (L. aterrimus) · Kaku wa Johnston (L. johnstoni) · Kaku wa Opdenbosch (L. opdenboschi) · Kaku wa Kilima Osmani (L. osmani) · Kaku wa Uganda (L. ugandae)
Macaca Mandrillus Miopithecus Kima wa Gaboni (M. ogouensis) · Kima wa Angola (M. talapoin)
Nasalis Papio Nyani gelada (T. gelada)
Piliocolobus Mbega mwekundu magharibi (P. badius) · Mbega wwekundu wa Afrika ya Kati (P. foai) · Mbega mwekundu wa Udzungwa (P. gordonorum) · Mbega mwekundu wa Unguja (P. kirkii) · Mbega mwekundu wa Pennant (P. pennantii) · Mbega mwekundu wa Preuss (P. preussi) · Mbega mwekundu wa Tana (P. rufomitratus) · Mbega mwekundu wa Uganda (P. tephrosceles) · Mbega mwekundu wa Chuapa (P. tholloni)
Presbytis Procolobus Mbega kijanikijivu (P. verus)
Pygathrix Rhinopithecus Rungwecebus Kaku kipunji (R. kipunji)
Semnopithecus Simias Trachypithecus
Hylobatidae Hominidae Gorilla Ngagi mashariki (G. beringei) · Ngagi magharibi (G. gorilla)
Homo Pan Pongo Orangutanu wa Sumatra (P. abelii) · Orangutanu wa Borneo (P. pygmaeus)
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc .
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd