Papa Adriano II

Papa Adriano II.

Papa Adrian II (792Novemba/Desemba 872) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Desemba 867 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Nikolasi I akafuatwa na Papa Yohane VIII.

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.